Jinsi ya KUPAKUA PICHA

Leave a comment »

Hello ICT Instructors/technicians/tutors!

Karibu

icttec.wordpress.com

Hii ni site ambayo kila ICT  Instructor/technician / tutor anaweza kuchangia kile anachokifahamu kuhusiana na Masuala ya Technolojia kwa Lugha yoyote ile anayoifahamu kupitia kipengele cha mjadala hapo juu kulia.Hii ni pamoja na:-

  1. Ugunduzi binafsi juu ya matizo ya teknolojia na namna ya kuyatatua.
  2. Mjadala.
  3. Kusaidiana katika namna ya kutatua matatizo ya computer.
  4. Mizaha na vituko katika Teknolojia.
  5. Maoni hasa katika masuala ya ICT na Teknojia kwa ujumla.
  6. Utafiti katika masuala ya Teknolojia.
  7. Matatizo mbalimbali tunayokumbana nayo kuhusu ICT in T/L na namna ya kuyatatua.
  8. Mafanikio katika kukumbana na Matatizo ya kiufundi.


    Comments (4) »